Msaada:jinsi ya ku-login multiple accounts on the same browser

Msaada:jinsi ya ku-login multiple accounts on the same browser

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,582
Reaction score
28,734
Kama kuna mtu anafahamu maujanja ya kulog in multilple accounts(mfano nina account mbili za yahoo au mbili za facebook na ninataka kuzifungua zote kwa pamoja bila kulog out mojawapo) asaidie please...nimejaribu COOKIEPIE lakini imegoma kwa fire fox 12 (it is not supported)...kuna nyingine inaitwa multifox lakini nayo inafungua kwenye window tofauti na mie nataka on the same window with different tabs as how done using COOKIPIE on older versions za firefox...
 
Back
Top Bottom