osc michael
Member
- Sep 10, 2017
- 57
- 99
Salam wadau,
naitaji ku hide calls, sms na whatsapp chart bila kuroot simu. Natumia android 7
naitaji ku hide calls, sms na whatsapp chart bila kuroot simu. Natumia android 7
Mkuu mi nmefanikiwa kuhide na kulock chat za wasap na sms za kawaida ila call nilihangaika cjapata msaada kweny wasap natumia gb wasap ina kipengere cha kuficha na kulock na sms nmetumia app ya sms inayoitwa mood massege ipo playstore ila hiyo gbwasap haipo playstore ipo google au unaeeza omba mtu mwenye nayo akakutimia tereglam, wasap.Salam wadau,
naitaji ku hide calls, sms na whatsapp chart bila kuroot simu. Natumia android 7