Msaada jinsi ya ku-hack dream league soccer 2023

Unawachezaji wazuri ,tatizo wanapower ndogo hakuna hata mwenye bluu (above 90) sasa hapo ukiplay online league au events unakuta na mtu anawachezaji kama wako ila wana power ya kutosha na kujikuta unafungwa japo umemzidi uwezo.

Sasa ukipata kikosi kipana kama hiko inabidi ufocus zaidi kwenye kuwajaza nguvu wachezaji na sio kusajili tena mfano mm nina fist eleven na sub chache nikosajili sasa nauza Moja kwa moja ili ni gain power ya kumjaza mchezaji maana wkt mwngne kupata diamonds 💎 inakuwa ngumu na inachelewesha .Na kwenye kujaza base kwenye fitness na sio technical..
 
nimeanza kucheza mwaka jana mkuu la 2022 lile nilikuwa na 90 first eleven yote.. nikampa data yangu mshakaji akaanzisha upya nikaacha kucheza nimelud juzi juzi tuu ila hapa namalizia kufungua formation nianze kuwajaza nguvu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom