Msaada jinsi ya ku-hack dream league soccer 2023

Msaada jinsi ya ku-hack dream league soccer 2023

JMipicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
704
Reaction score
1,095
Habari wadau,

Jaman naombeni msaad kama kuna uwezekano wa kupata mod ya dls 2023 iwe na unlimited coin na germ yaan daimonds.
 
sidhani kama unaweza kulihack wataalamu waje ila ukiamua kucheza unapata hela vizuri tuu ya kuingia sokoni... kikubwa upgrade uwanja.. upande adi daraja la kwanza legendary division... hapo gemu ukicheza uwanja wa nyumbani unapata coins 100+ ukiview ads inakuja kama 230 coins... so hela inakuja tuu cc adriz
 
Screenshot_20230207_084913.jpg
 
sizani kama unaweza kulihack wataalamu waje ila ukiamua kucheza unapata hela vizuri tuu ya kuingia sokoni... kikubwa upgrade uwanja.. upande adi daraja la kwanza legendary division... hapo gemu ukicheza uwanja wa nyumbani unapata coins 100+ ukiview ads inakuja kama 230 coins... so hela inakuja tuu cc adriz
Sawa mkuu ila ya uko nyuma yalikuwa yanakubali
 
Hakuna namna unaweza kuhack mkuu zaidi utakula ban tu, hili hata wahindi na waarabu wameshindwa cheza sana online match angalia matangazo nk mini nilianza mdogo mdogo sahz atleast
Kweli mzeee hata video za youtube nyingi ni waongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom