msaada: jinsi ya ku-compress documents

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,146
Wakuu nimetengeneza cv ambayo nimeunganisha na vyeti na imenipa 17mb, hii inanipa shida kuapply kwani sehemu nyingi wanataka document ambazo hazijazidi 2mb....naomba msaada kama kuna software ya kufanya hii mambo...
 
asante ila nimeshapata hiyo option kwenye ms word, imenipa 663kb

Angalia, asije Hr akashindwa kuifungua. Komputa zingine pengine hazina hiyo program

Tuwekee link tuione kama zina urafiki kwa mtumiaji.
 
Format ya kutuma cv ni pdf tu.

Kama hauna tafuta primo itakufaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…