Ndugu zangu mimi ni mdau kati ya wanao tuma picture hapa Jf, napata shida jinsi ya ku attach picture. Tatizo la msingi ni jinsi page inapo funguka, mfunguaji inamlazim tena kufungua picha ambayo inakuwa kwenye jpegkb badala ya mfunguaji anapofungua page na kuona picha moja kwa moja. Majibu nitakayopewa naamini kabisa si yangu pekee bali hata wengine wenye tatizo kama langu. Asanteni na poleni kwa usumbufu.