Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 500
Mkuu sizani kwa jibu hilo utakuwa umenisaidiKaa nayo tu
Si lazima iwe na faida kwako wapo wengine itawasaidiasisi ya nini
Sasa mkuu nitajaribu vip wakati sifahamu process zakeJaribu hivi
Fanya hivSasa mkuu nitajaribu vip wakati sifahamu process zake
Hahahhahaha thanks mkuuVideo
Anza na [
Kisha MEDIA
=youtube
]
Andika code eg(oBykZb)
[/
Andika tena MEDIA
Malizia ]
hapo utakuwa umemaliza
Angalizo usipost porns hzo haztakiwi
Tapatalk ndio mambo yote bila kuandika media sijui nini pakua tapatalk toka play store search jamii forumKwa anaelewa anisaidie maana nina audio hapa nimeshindwa kufanya hivyo
Thanks mkuuTapatalk ndio mambo yote bila kuandika media sijui nini pakua tapatalk toka play store search jamii forum
Huwezi ku edit mwenyew watmue ujumbe moderators watakubadilishia waoMsaada namna ya kuedit personal detail mfano jina and so on