Msaada: Jinsi ya ku-access deep web kwa urahisi

Msaada: Jinsi ya ku-access deep web kwa urahisi

Wengi wanajifanya kuijua hiyo deep web ili nao wajioneshe wanajua mambo...
wewe ndo unaleta Ligi kwenye forum sasa.
kwenye forums watu wana share wanachojua and its Ok kumkosoa mtu kwa kumpa faida juu ya hoja zako!

In that way unapanua wigo wa kile kidogo ulichokua unajua

Tofauti na hapo sijaona umuhimu wa comment yako zaidi ya dhiaka na kuona kile ulichonacho ambacho utaki kutoa ni bora zaidi!
 
Kuna watu wanapenda kuudhi tu humu.. tanx kwa somo lako Mimi nimesoma programming lkn Leo ndio nimepata darasa la hii dark web tanx
 
Ku mask ip address ni kuhide ip adress yaan sawa na jambazi kaja kwako akiwa amefunika uso ili usimfahamu. Unafanya hii kwa kutengeneza vpn. Vpn ni tunnel inayokuwepo virtually so mtu sio rahisi kukutrack ama kuona unachofanya
 
We ushaskia dar.. Kuna jamaa yangu aliingia huko darkweb , alivimna kichwa, kilikua kama boga vile alaf akawa mweusssssssssi kiwango cha lami
Haya endeleeni kushobokea darkweb
Hahahahahaha dah mm acha niwe muangaliaji tu.... kiwango cha lami...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom