david08606
Member
- Jul 18, 2013
- 47
- 4
Wadau naombeni msaad jinc ya kuhaki cmu in case of wezi na ni aplication ip naweza itumia.
Baba nimekupatA vilivyo mi natumia htc hd7 window 7.8 so nilijua ukidownload antivirus pia ina track kumbe sivyo na in case of mwizi kaiiba unawezaje kumpata.
CHIEF MKWAWA you are thebest ever
Baba chief mkwawa nimekupata vizuri sana lakini kwenye simu sehemu ya setting then kuenable phone track akiiswitch off, je haiwezi sababisha kushindwa kuitrack na kumpata mwizi
lock simu kwanza asiguse kitu then mengine ndo yafuate
Akiiflash Je?
ndo basi umeikosa, unatakiwa u act fast kabla hajafanya uamuzi wowote
Haya makampuni yanatakiwa yaige mfumo wanaotumia apple