miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Mtoto ni mkristo Hamza ni la kislamu, nmeweka majina 4 hapo juu naomba nichagulie mojaHamza unalionaje!?
Zuri sana
Asante sana ngoja tusubiri na wengine den tupige kura ikitokea likapendwa na wengi tunamwita JaydanJaydan ni zuri zaidi....(kwangu mimi)
Tatizo mtoto mwenyewe amekaa kideliciousHayo majina mbona yamekaa ki delicious sana.
Muite Kylian, Paul, Michael, Albert etc.
Haijalishi dini gani,muiteni tu Hamza,jina la kibabe sanaMtoto ni mkristo Hamza ni la kislamu, nmeweka majina 4 hapo juu naomba nichagulie moja
Je unafahamu maana ya hiki ulichokiandika!amekaa kidelicious
Sahahani kidogo Jaden na jaydan mbona kwenye Google ni kama yana maana moja au hili jina ni moja, naomba nielekeze hapo kidogo
Sahihi, Ni jina moja.jina ni moja
Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.
Jehovah has heardAf sorry....
mbona wazaz wengi sana wanawaita watt wao Jaden
Muite Prince.... hayo majina ya Jaden yamekua mengi sana sijui nyuma yake kuna nn
Asante sana ngoja mwishoni tutapiga kura tuone lipi limependwa zaidi Kama likiwa prince tutamwita princeAf sorry....
mbona wazaz wengi sana wanawaita watt wao Jaden
Muite Prince.... hayo majina ya Jaden yamekua mengi sana sijui nyuma yake kuna nn
Asante sana na Lina maana zuri sanaJehovah has heard
Jehovah has heard