Msaada:JF application haifunguki

Msaada:JF application haifunguki

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,043
Reaction score
1,279
Wakuu naomba msaada cha kufanya,leo nime-update JF application,lakini imekua nzito sana ku-run,maana inaishia kuandika "connecting to server" then haiendelei,mwazo nimedhani labda ni quality ya network but net ina speed nzuri tu,kabla ya hii JF version mpya niliyokua nayo nili install via Playstore ya google,but ku-update nimetumia mobogenie,so mwenye ushauri what to do please!
 
hao mobogenie ni mavirus ndugu idownload kutoka App store moja kwa moja
 
Wakuu naomba msaada cha kufanya,leo nime-update JF application,lakini imekua nzito sana ku-run,maana inaishia kuandika "connecting to server" then haiendelei,mwazo nimedhani labda ni quality ya network but net ina speed nzuri tu,kabla ya hii JF version mpya niliyokua nayo nili install via Playstore ya google,but ku-update nimetumia mobogenie,so mwenye ushauri what to do please!

ikishamaliza kuload hapo "connecting to server" upande wa mkono wako wa kushoto kwenye screen kuna jf logo, click hapo ili iweze kupata forums
 
Back
Top Bottom