Msaada: Je, Tanzania kuna Trust Funds

Msaada: Je, Tanzania kuna Trust Funds

MamaZion

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2023
Posts
248
Reaction score
280
Habari zenu wanajukwaa. Nimekuja kwenu kujua endapo mimi kama mzazi ninaweza kumwanzishia mtoto wangu Trust fund atakayoweza kupata manufaa yake akishakuwa mtu mzima?

Naona kwenye filamu huko Marekani na Ulaya kuna huu utaratibu wa kiasi gani beneficiary atapokea, kwa muda gani na nani atasimamia.

Msaada wenu tafadhali
 
Back
Top Bottom