mr wilehard
Member
- Jun 29, 2015
- 49
- 23
Waweke hadharani na mikataba tuione, ili tujuwe waliosaini na kilichomo ndani ya mikataba hiyoWakuu kwanza poleni na majukumu. naombeni kujua kuwa ni kweli hiyo campuni ya HELPING HANDS INTERNATIONAL imesajiljwa hapa Tanzania au ni njia ya kutuibia.
wamentumia hadi nyaraka za uhalali wao lakini bado wananitia mashaka sana. Wanakuwa wakali ukihoji sana na hats kwa akili nyepesi hiyo ni njia rahisi sana ya kupata fedha ambayo pia ni rahisi kuibiwa. wanatoa form za kujiunga kwa shling elfu 90.View attachment 523506 View attachment 523506 View attachment 523507 View attachment 523508 View attachment 523508 View attachment 523506 View attachment 523507 View attachment 523508
UNAIKUMBUKA MISSION TO THE NEEDWakuu kwanza poleni na majukumu. naombeni kujua kuwa ni kweli hiyo campuni ya HELPING HANDS INTERNATIONAL imesajiljwa hapa Tanzania au ni njia ya kutuibia.
wamentumia hadi nyaraka za uhalali wao lakini bado wananitia mashaka sana. Wanakuwa wakali ukihoji sana na hats kwa akili nyepesi hiyo ni njia rahisi sana ya kupata fedha ambayo pia ni rahisi kuibiwa. wanatoa form za kujiunga kwa shling elfu 90.View attachment 523506 View attachment 523506 View attachment 523507 View attachment 523508 View attachment 523508 View attachment 523506 View attachment 523507 View attachment 523508
UNAIKUMBUKA MISSION TO THE NEED
UNAKUMBUKA FOUNDER WAKE.....
NENDA MIKOCHENI NJIA YA COKEKOLA UKISIKIA PAMBIIOO NYINGI ELEKEA HUKO UNIJULISHE....NAPITA TU..JIONGEZENI PLS...MRADI WA WACHUNGAJI NA WAUMINI ZAO HUO