Msaada Jamaniii!!!!

Msaada Jamaniii!!!!

Khaaa!
Embu wacha uboya basiii!
Hata kama huyo jamaa ni mpenzi wake!
Hata kama alikua mpenzi wake!
Hata kama ni rafiki tu!
ALICHOKUFANYIA NI DHARAU YA HALI YA JUU!!!!!
Kama vip Mkomoe tu nayeye!
1-Unaweza kumPM bidada hapo juu!
2-Muombe gemu, unajipasua! Unam'bandua kiukweli!
Hahahahahahaaaaa!!!
...Don try zis @ hom o school!

Demu wangu kaamua kuniumiza, kanipigia simu nimfuate maeneo flani hapa katikati ya Jiji kufika tu namkuta na njemba, kanitambulisha kwamba alisoma na huyo jamaa sekondari ila wamekutana ghafla, kilichonitia shaka ni kwamba jamaa alipokuwa anataka kuondoka alimpiga demu wangu busu zito hali iliyonipa wasiwasi kwamba naibiwa mwenzenu!! Demu sijataka kumuuliza neno lolote nimeamua kunyamaza mwenzenu,. Nisaidieni yasije yakawa kama ya bushoke!!
 
form four 2012...kamsalimie mwalimu wako Halima pale Datastar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom