chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,367
- 27,771
Demu wangu kaamua kuniumiza, kanipigia simu nimfuate maeneo flani hapa katikati ya Jiji kufika tu namkuta na njemba, kanitambulisha kwamba alisoma na huyo jamaa sekondari ila wamekutana ghafla, kilichonitia shaka ni kwamba jamaa alipokuwa anataka kuondoka alimpiga demu wangu busu zito hali iliyonipa wasiwasi kwamba naibiwa mwenzenu!! Demu sijataka kumuuliza neno lolote nimeamua kunyamaza mwenzenu,. Nisaidieni yasije yakawa kama ya bushoke!!