Msaada jamanii, nahisi kama nachezewa mchezo

Msaada jamanii, nahisi kama nachezewa mchezo

ngono hizi zitamaliza watu..lile la kwanza,pili,tano,kumi mbegu ikitoka hata moja kule ndani ynyewe itaenda tu,subirieni muone itakuaje...ila MSIUE
 
Ushauri gani unataka hapa? unapopanda mazao unategemea kuvuna kile ulichopanda! na unapofanya mapenzi bila kinga unategemea nini? Lea mimba baba kijacho hujajipanga?
 
Tulia usikurupuke joh... Hakuna maamuzi ya busara yanayopatikana mtu ukiwa na stress, vuta pumzi shauriana vzuri na mamlaka yako ya ubongo km unauamin huwa unakupa majib sahih... ila kwa mim nenda nae mguu kwa mguu hospital au kuepusha upotevu wa muda chukua kwanza kipimo cha mimba pharmacy ukikuta hana mimba poa, ukikuta anayo nenda nae hospital ukapate kujua ni miez mingap... Ukiona miez inaenda sawa na muda wako... Chukua mali joh.. Mtoto hakataliwi.. Heshim kiumbe kilichopo tumboni... Ukikuta hana mimba vunga tu, ndio watoto wa mjin walivyo .
 
Hii mpya, ulifurahia joto la papuchi hadi ukamwagiamo. Unaona unaongopewa kuhusu mimba, na ugonjwa jee?
 
Kwani wewe uliishia wapi kielimu...... Maana kama hili hulijui nina wasiwasi na elimu yako... Ila pole na jiandae kuitwa baba dhaifu.
 



Mashaka yangu je bao la tatu, huwa nidhaifu sana, je linaweza kuleta ujauzito? Au ndio naingizwa mjini hapa? Au ndio nategwa ili nitoe pesa ya bure, maana huyu binti bado anasoma chuo fulani hapa dar, naombeni ushauri wadau nifanyeje hapa?

Ngoja tu nisome comments za wengine maana...
 
We kweli Zimo kweli mdada wa watu kakwambia siku mbaya ili uwe makini umepiga mawili ukamwaga nje kielehele gani kilikutuma bao la Tatu umwage ndani au ufinyu wa elimu kuwa shahawa zitakuwa dhaifi?au kunogewa na utamu unalo hilo jiandae kulea Mtoto Na ni wa kwako Kwani alikuonya mapema
 
Ushauri gani!? Jiandae kulea mtoto! Kwa nini bao 2 ulitumia condom na sio la 3?



Wakuu habari,

Msishangae mbona asubuhi sana, jamaa anaandika uzi wa mapenzi? Ni kwamba usiku sijalala kutokana na kuwaza sana hili tukio. Ni kwamba ninampenzi wangu nipo naye kwenye mahusiano kama miezi mitatu sasa, mwezi iliyopita alikuja geto, kama unavyojua tena, nikaomba papuchi, mtoto akasema niko kwenye siku za hatari.

So kuwa makini, alinitaarifu mapema sana, nikapewa papuchi, nikagegeda bao tatu, sasa bao mbili nikatumia kinga, na bao la tatu, sikutumia kinga? Kwa hiyo lile bao la tatu, nikamwaga kwenye papuchi, sasa binti analalamika kuwa haoni siku zake mwezi huu, na anasema sio kawaida yake.

Mashaka yangu je bao la tatu, huwa nidhaifu sana, je linaweza kuleta ujauzito? Au ndio naingizwa mjini hapa? Au ndio nategwa ili nitoe pesa ya bure, maana huyu binti bado anasoma chuo fulani hapa dar, naombeni ushauri wadau nifanyeje hapa?
 
Mambo mengine yanachekesha sana.

So usiku mzima ulikuwa unawaza bao la tatu kama linaeza fanya mtu apate mimba!? Aisee kazi sana
 
Eti bao latatu dhaifu!1hahaaaaaaaaaaaaa!!dah, hvi watu wenye akili za namna hii bado wapo? hongera baba kijacho, jipange kuwa baba usimkimbie mtoto wawatu alishakwambia yuko danger days!
 
Teh tehe inauzunisha sana vitu vingine kuomba ushauri nikujidhalilosha
 
Hukuwahi kusikia akili za kuambiwa changanya na zako.wewe uliambiwa bao la tatu ni dhaifu sana hukutafuta ukweli ?Haya sasa timiza majukumu yako usitafute visingizio.Na ili mumlee vizur mtoto wenu fanya fasta ujitambulishe ufunge ndoa uondokane na uzinifu.
 
Back
Top Bottom