Msaada jamanii, nahisi kama nachezewa mchezo

Msaada jamanii, nahisi kama nachezewa mchezo

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,297
Wakuu habari,

Msishangae mbona asubuhi sana, jamaa anaandika uzi wa mapenzi? Ni kwamba usiku sijalala kutokana na kuwaza sana hili tukio. Ni kwamba ninampenzi wangu nipo naye kwenye mahusiano kama miezi mitatu sasa, mwezi iliyopita alikuja geto, kama unavyojua tena, nikaomba papuchi, mtoto akasema niko kwenye siku za hatari.

So kuwa makini, alinitaarifu mapema sana, nikapewa papuchi, nikagegeda bao tatu, sasa bao mbili nikatumia kinga, na bao la tatu, sikutumia kinga? Kwa hiyo lile bao la tatu, nikamwaga kwenye papuchi, sasa binti analalamika kuwa haoni siku zake mwezi huu, na anasema sio kawaida yake.

Mashaka yangu je bao la tatu, huwa nidhaifu sana, je linaweza kuleta ujauzito? Au ndio naingizwa mjini hapa? Au ndio nategwa ili nitoe pesa ya bure, maana huyu binti bado anasoma chuo fulani hapa dar, naombeni ushauri wadau nifanyeje hapa?
 
Tukushauri nin sasa, subiri kulea mtoto na usithubutu kutaka kutua mimba yangu ni hayo tu
 
Usisubiri kuhadithiwa usimwachie nafasi mpeleke mguu kwa mguu mkapime kwanza gharama ni Tshs2000/= Au dola mojqa yqa Marekani kwa rate ya leo! ukipata uhakika ni mja mzito ndio uje hapa.

Maana kuna wengine wanatumia mwanya huo kutapeli atakuambia rafiki yangu kanambia nitafute elfu 50 tu anipleke sehemu nikasafishwe, na wewe kwa kupanic faster unatoa pesa kuepuka majanga kumbe hakuna cha uja uzito wala kijacho MJINI MIPANGO wewe tu ni jinsi gani ucheze kete upate mavumba! Wewe unadhani nini maana ya BONGO? Tumia bongo ati!
 
Subiria miezi tisa ndio utajua udhaifu wa bao la tatu.
 
Kwa hiyo hilo bao la tatu yalitoka maji matupu bila mbegu?? Akili ya wapi hii aisee
 
TEMBO WANGU, naomba kujua umri wako kwanza please, nisije kua naongea na mtu mwenye umri mdogo halafu namwambia maneno amabayo sio size yake....
 
Kwani hilo bao la tatu mwenzetu umatoa mapovu badala ya manii?
 
Nyoooooooooooooooo mfyuuuuuuuuuuuuu zako

ushamwaga kwenye K hlafu unajishaua hapa "bao la tatu dhaifu" dhaifu kwa kuwalinatoa mlendabadala ya shahawa?

jiandae kuitwa baba

nyie ndio mnaokimbia majukumu nyie...
 
Ha ha ha ha kajinyonge usijeona bao la tatu likitoa mtoto mana itakuwa maajabu kwako mavi kutoa mtoto.
 
Mkuu hapo umeshapanda mbegu, mwamishie kwako ulee hiyo kitu vizuri, hongera baba K
 
Back
Top Bottom