Msaada jamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by eRRy, Dec 10, 2010.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wanajamii wote! nachukua nafsi hii kuwashukuruni wote kwa mchango mkubwa saaana ambao mmekuwa mkiutowa kwa nyakati tofauti(mawazo, nk).
  Hata hivyo mi nina mpango wa kuanzisha biashara ya madini(haa dhahabu, Almasi na Tanzanite) kuyatowa TZ na kuyauza USA.mtaji kuanzia $10,000 excluding nauli. Je nianzie wapi? vipi bei? na itahitaji license ya kuuza madini?
  Thanx in advance
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ndio unaitaji leseni,na kila unachopeleka inabidi kiwe registered na kulipiwa kodi ya serikali.Kwa ushauri anza na Gold,almas,Tanzanite inaitaji uzoefu.(Almas,tanzanite ata kama ni kubwa kiasi gani crack au tuseme mpasuko unalishusha thamani)so you have to be very carefully.mtaji wako unatosha kama 1KG ya Gold,unaeza anza peleka Dubai,then mtaji ukukua ndo upeleke USA.lakini jua ya kuwa USA,China au ata Dubai 1 KG ni cha mtoto,at least 10 kg,but you cvan try goodluck
   
Loading...