Msaada Jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Jamani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Lutajoan, Aug 4, 2010.

 1. L

  Lutajoan Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu,Naombeni msaada wakulekebisha PC, hii PC ni Tablet PC ila haifanyikazi kama Tablet PC inavyotakiwa kufanya Kwa Mfano Kalamu yake haiandiki,screen uki rotating haibadiliki. naombeni msaada nifanyeje
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kama sijakuelewa vile!!!!
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hapa kuna wataalam wengi, nina imani ukieleza vizuri mgonjwa na ugonjwa utapata solution, kwa mfano ni brand gani, ina OS gani.............
   
 4. L

  Lutajoan Member

  #4
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikwamba Hii mashine ilifanyiwa formating, ila Drivers za Tablet PC ndiyo hakuna yani tuliweka WnXP na Drivers zote zimerudi kama za sound, wireless, kasoro hiyo Tablet PC Ndungu,
   
 5. L

  Lutajoan Member

  #5
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikwamba Hii mashine ilifanyiwa formating, ila Drivers za Tablet PC ndiyo hakuna yani tuliweka WnXP na Drivers zote zimerudi kama za sound, wireless, kasoro hiyo Tablet PC Ndungu,
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Weka brand ya hiyo PC, yaani DELL, TOSHIBA, ASUS..........na model yake (au inawezekana inaitwa Tablet PC tu!!!! labda mm ndy skusomi) hiyo itasaidia mtu akupe link, au unaweza kuingia kwenye website ya huyo maker, au hata jaribu ku-google.
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Google: "Jina na model number ya hiyo kitu + drivers" utapata drivers unazohitaji, unless ni hizi brandless za mchina kupata drivers utakoma.
   
 8. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mkuu hiyo tablet ya kichina nini? Otherwise, kama specifications zake zinaruhusi, weka Windows 7 as ina support nzuri zaidi ya tablets.
   
 9. L

  Lutajoan Member

  #9
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kaka hii Toshiba Tecra M7 Tablet PC
   
 10. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Kama hip laptop yako inayo recover disk basi ifanyie reformat ili irudi katika hali yake kama ilivyokuwa mpya. Kabla ya process hio hakikisha umefanya backup na ndipo uendelee na reformat.

  Iwapo huna recovery disk basi kutakuwa na problem.
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unclear problem will alway get unlear solution. Watu wanajitahidi kutoa solution lakini ungesaidia sana kwa kuwa clean na specific kwa tatizo lako ingekusadia wewe hata wanaokupa solution.Usielezee tatizo kama unaelezea kwa mtu aliye karibu na anaweza kusihika hiyo mashine.

  Otheriwise
  Nenda website ya offficial ya Toshiba. Toshiba Support - Homepage
  Kwenye hiyo site chagua laptop family chagua Tecra na model chagua M7 kama ulivyosema

  Hapo kuna list ya official driver zote za model yako kwa Operating system zote za windows.

  Ikishindikana kwa kutumia U sheikh yahya then tatizo inaweza kuwa ni Touch screen na sensor yake zina tatizo. As a toch screenn is so delicate.I mean ni hardware problem na si software.Uliwai kuidondosha? Tafuta PC doctor wa kaminika.
   
Loading...