Msaada jamani

Msaada jamani

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Kuna rafiki yangu kapata kazi mwaka huu mwezi wa pili serikalini,na barua ya ajira anayo,alikuwa anaomba mkopo benk ya nmb akajaza form na kuweka viambatanisho vyote vinavyotakiwa na benk,ishu ikaja kwenye kupata sahihi huko halimashauri,DT amesaini ,mkubwa wake wa idara amesaini,bado sahihi moja ya mkurugenzi wamemzungusha kama mwezi hivi,bila kusainiwa huku akipewa majibu ya kuwa unaruhusiwa kupata mkopo mpaka ifike mwezi kama ule uliyo ajiriwa,mwenye kujua ukweli wa hili! Maana anaona kuna kila dalili za rushwa au ndio ndivyo ilivyo?
Nawasilisha kwa mawazo zaidi
 
rules toa pesa upate pesa... muhimu sana mwambie aende kuongea na huyo ambae anasubiria sahihi yake kwamba mkopo ukitoka atampa kiasi fulani simple like that... la sivyo mwakani tena atasubiri sana...
 
rules toa pesa upate pesa... Muhimu sana mwambie aende kuongea na huyo ambae anasubiria sahihi yake kwamba mkopo ukitoka atampa kiasi fulani simple like that... La sivyo mwakani tena atasubiri sana...

ntafanyia kazi thanx sana,kwa hiyo kwa sasa bado hayupo kwenye haki?
 
mbona ishu ipo rahisi namna hiyo...mwenye njaa aambiwi kula akunyue mkono tu asiwe na mkono wa birika
 
mbona ishu ipo rahisi namna hiyo...mwenye njaa aambiwi kula akunyue mkono tu asiwe na mkono wa birika

tatizo sio mkono wa birika,kwanza ajue kuwa ana haki ya kupata mkopo ndipo atoe chochote
 
tatizo sio mkono wa birika,kwanza ajue kuwa ana haki ya kupata mkopo ndipo atoe chochote

Akaongee na afisa utumishi wa manispaa yao amwelekeze utaratibu ili ajue kama anastahili au laa
 
Kuna rafiki yangu kapata
kazi mwaka huu mwezi wa pili serikalini,na barua ya ajira anayo,alikuwa
anaomba mkopo benk ya nmb akajaza form na kuweka viambatanisho vyote
vinavyotakiwa na benk,ishu ikaja kwenye kupata sahihi huko
halimashauri,DT amesaini ,mkubwa wake wa idara amesaini,bado sahihi moja
ya mkurugenzi wamemzungusha kama mwezi hivi,bila kusainiwa huku akipewa
majibu ya kuwa unaruhusiwa kupata mkopo mpaka ifike mwezi kama ule
uliyo ajiriwa,mwenye kujua ukweli wa hili! Maana anaona kuna kila dalili
za rushwa au ndio ndivyo ilivyo?
Nawasilisha kwa mawazo zaidi

aombe kuonana na mkurugenzi uso kwa uso amweleze tatizo lake
 
ni mwal wa kike au wa kiume? labda papuchu inatakiwa.......otherwise Nadhani hapa siyo mkurugenzi, ni wale wa mapokezi. issue ya mkopo wa ticha haizidi hata 8m, mkurugenzi ana mafungu hawezi kunyemelea kamkopo cha mwl.
 
ni mwal wa kike au wa kiume? Labda papuchu inatakiwa.......otherwise nadhani hapa siyo mkurugenzi, ni wale wa mapokezi. Issue ya mkopo wa ticha haizidi hata 8m, mkurugenzi ana mafungu hawezi kunyemelea kamkopo cha mwl.

ni wa kiume kaka nadhani itakuwa ni wale vibaraka wake,wanataka kitu kidogo,ameshukuru kwa mawazo yenu mazuri,na yupo mbioni kwenda kwa mkurugenzi ili apate jibu kutoka kwake,ninavyojua mimi ukitimiza miezi nane unapata mkopo,labda ingekuwa benki ndio wanaleta longo longo sawa
 
akaongee na afisa utumishi wa manispaa yao amwelekeze utaratibu ili ajue kama anastahili au laa

kaenda kamwambia bado hujaajiliwa mpaka ufikishe muda kama ulio ajiliwa na tsd namba anayo,na katimiza miezi nane kazini
 
ngosha2011, msipende kulalamika sana jaribuni kufanya utafiti kidogo vijana. Hilo moja, pili tumia neno saini na siyo sahihi kama ulivyoandika. Tatu na hii nadhani itakuwa point muhimu kwako ni kwamba huenda inatakiwa huyo rafiki yako athibitishwe kwanza kazini ndiyo awe na stahili ya kupata mkopo. Na kwa hiyo amethibitishwa kazini? Barua ya kuthibitishwa kazini anayo?
 
Last edited by a moderator:
ngosha2011, msipende kulalamika sana jaribuni kufanya utafiti kidogo vijana. Hilo moja, pili tumia neno saini na siyo sahihi kama ulivyoandika. Tatu na hii nadhani itakuwa point muhimu kwako ni kwamba huenda inatakiwa huyo rafiki yako athibitishwe kwanza kazini ndiyo awe na stahili ya kupata mkopo. Na kwa hiyo amethibitishwa kazini? Barua ya kuthibitishwa kazini anayo?

sio kulalamika mkuu alikuwa hajui yote hapo juu ndio maana anaomba msaada,barua ya kuthibitishwa kazini inakuja baada ya muda gini baada ya kuanza kazi?maana kuna watu wamechukua mikopo na hizo barua hawana,na kuna mtu kaanza kazi mwaka 2000 barua kapata juzi,na keshachukua mkopo wa ujenzi muda mrefu,au ni hii halimashauri?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom