Msaada jamani.

kangalo

Member
Nov 27, 2012
18
1
Jamani waungwana natumia simu ya nokia E7 nawezaje kupata application kwa kutumia email kwani kwenye ovi naona kama kuna limitation na baadhi ya application hazipo.
 
we umejuaje kama hazipo? Hicho kitu kilichokujulisha ndo kilitakiwa kikupe.

Na ustegemee miracle software zije kwenye mail
 
Back
Top Bottom