K kangalo Member Joined Nov 27, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Nov 28, 2012 #1 Jamani waungwana natumia simu ya nokia E7 nawezaje kupata application kwa kutumia email kwani kwenye ovi naona kama kuna limitation na baadhi ya application hazipo.
Jamani waungwana natumia simu ya nokia E7 nawezaje kupata application kwa kutumia email kwani kwenye ovi naona kama kuna limitation na baadhi ya application hazipo.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,414 Nov 28, 2012 #2 we umejuaje kama hazipo? Hicho kitu kilichokujulisha ndo kilitakiwa kikupe. Na ustegemee miracle software zije kwenye mail
we umejuaje kama hazipo? Hicho kitu kilichokujulisha ndo kilitakiwa kikupe. Na ustegemee miracle software zije kwenye mail