CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
Waambie waache utundu..
Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
Ok inategemea na chumba chako kiko sehemu gani karibu na mti au na je kioo cha dirisha lako ukijiangalia kwa nje unajuona? Je mafuta au perfume unayopaka in harufu ya kama maua au food
wanakuonea aibu watafunguka soon eehnishaambia mpaka nikachoka... hata leo nimewauliza mnataka nini hawakujibu wakakimbia....
nishaambia mpaka nikachoka... hata leo nimewauliza mnataka nini hawakujibu wakakimbia....
aaah wapi havinaanza jana wala juzi... na vitashindwa kwa jina la Yesu.. . nina kamanda wa ukwweli halali wala hasinzii yeye hunilinda. huyu si mwingine ni YESU KRISTO..... Judgement!!!!
Inabidi ufanye uchunguz zaidi ujue wanatokea wap then ndio hapo utaweza kupata solution
Unakumbuka taarab ya "njiwa peleka salamu" usije kuta wana ujumbe mzito..
Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
Kwa hiyo Charmy unategemea bibi yangu akale wapi? Kama wateja wote mkitoka kwa slogan hiyo?
duh... vimerudi tena... hivi nitapata wapi ulimbo nivitege?¿¿¿¿¿
kioo ni cha kawaida... kuhusu perfume huwa nachanganga changanya... vp kuhusu bafuni make hata huko huwa vinakuja... pia hata nikisafiri kama nimelala hotelini huwa vinakuja ingawa sio vya rangi ile ile but lazima vije viwili... je ni kawaida?????