CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
habari ya jumapili?
hapa home kuna miti na maua... pamekuwa kuvutio kikubwa kwa ndege (birds) sasa cha kushangaza na kilichonifanya niandike huu uzi ni kwamba kuna vindege flan vidogo vinapenda kuja dirishani kwangu vikiwa viwili.. basi vitagonga gonga kioo mpk niamke nivifukuze... siku nyingine vinakuja vyenye rangi nyekundu nyekundu... siku nyingine vua njano njano na ukivifukuza vinakaa km dakika.15 hivi then vinarudi... yan nashindwa kusinzia nyakati za mchana... siku moja nipo bafuni pia vikaja vinapiga keleleeee... huwa napata hasira mwishowe naishia kucheka tu... lakini cha kushangaza haviwezi kwenda kwenye dirisha la mummy au wadogo zangu ni kwangu tuu.... nashindwa kuelewa huwa ni kwanini... hasa hivi ninavyopost nimetoka kuvufukuza!!!