msaada jamani

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
habari ya jumapili?
hapa home kuna miti na maua... pamekuwa kuvutio kikubwa kwa ndege (birds) sasa cha kushangaza na kilichonifanya niandike huu uzi ni kwamba kuna vindege flan vidogo vinapenda kuja dirishani kwangu vikiwa viwili.. basi vitagonga gonga kioo mpk niamke nivifukuze... siku nyingine vinakuja vyenye rangi nyekundu nyekundu... siku nyingine vua njano njano na ukivifukuza vinakaa km dakika.15 hivi then vinarudi... yan nashindwa kusinzia nyakati za mchana... siku moja nipo bafuni pia vikaja vinapiga keleleeee... huwa napata hasira mwishowe naishia kucheka tu... lakini cha kushangaza haviwezi kwenda kwenye dirisha la mummy au wadogo zangu ni kwangu tuu.... nashindwa kuelewa huwa ni kwanini... hasa hivi ninavyopost nimetoka kuvufukuza!!!
 
Ok inategemea na chumba chako kiko sehemu gani karibu na mti au na je kioo cha dirisha lako ukijiangalia kwa nje unajuona? Je mafuta au perfume unayopaka in harufu ya kama maua au food
 
Ok inategemea na chumba chako kiko sehemu gani karibu na mti au na je kioo cha dirisha lako ukijiangalia kwa nje unajuona? Je mafuta au perfume unayopaka in harufu ya kama maua au food

kioo ni cha kawaida... kuhusu perfume huwa nachanganga changanya... vp kuhusu bafuni make hata huko huwa vinakuja... pia hata nikisafiri kama nimelala hotelini huwa vinakuja ingawa sio vya rangi ile ile but lazima vije viwili... je ni kawaida?????
 
Japo vile viwili vya mwanzoni hukuvitaja rangi zake nway na tuanzie hapo coz nna imani unachatia bafuni kwa vile naona matonetone ya mma kunako sredi yako.
Sasa kuhusu hivyo videge vitakua vinatumwa hivyo! Na soon wataanza kuja Bundi.
Ukitaka wakome nitafute nikupeleke Nasa kwa bibi yangu akakufanyie tambiko mandingo, bei maelewano. Hamna huduma ya bure nao deiz .
 
aaah wapi havinaanza jana wala juzi... na vitashindwa kwa jina la Yesu.. . nina kamanda wa ukwweli halali wala hasinzii yeye hunilinda. huyu si mwingine ni YESU KRISTO..... Judgement!!!!
 
Last edited by a moderator:
Inabidi ufanye uchunguz zaidi ujue wanatokea wap then ndio hapo utaweza kupata solution
 
aaah wapi havinaanza jana wala juzi... na vitashindwa kwa jina la Yesu.. . nina kamanda wa ukwweli halali wala hasinzii yeye hunilinda. huyu si mwingine ni YESU KRISTO..... Judgement!!!!

Kwa hiyo Charmy unategemea bibi yangu akale wapi? Kama wateja wote mkitoka kwa slogan hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Viache nimekumaind.............mimi viko kwenye mlango wa kuingilia na vimejenga kabisa, hapa nilipokaa naona nyumba yao!
 
kioo ni cha kawaida... kuhusu perfume huwa nachanganga changanya... vp kuhusu bafuni make hata huko huwa vinakuja... pia hata nikisafiri kama nimelala hotelini huwa vinakuja ingawa sio vya rangi ile ile but lazima vije viwili... je ni kawaida?????

Popote uendapo vinakufuata? Kama vinakuja viwili ujue vinakukumbusha ufunge ndoa mapema
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom