msaada jamani

happy amos

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
251
434
jamani mwenzenu najishangaa sijui ninapepo au nini mwanaume akinitongoza tukifanya sex mara 1 namchukia yaani simtaki na ananitoka moyoni kabisa au mwanamme akinitongoza tukifanya romance tu bas mimi ham nae inaisha na ninamchukia kabisa unakuta sitaki kabisa hata kumuona, jamani ushauri wa bure itakua ninatatizo gani mwenzenu?
 
Na labda nikuulize kaswali, Ulishawai vikishwa kilele cha mlima katika mara zote hizo ulizojaribu kufanya?

Coz huwezi enjoy kupanda mlima kama hautafika kileleni lazima utachukia kupanda kabisa.
 
Tatizo ukiwa kwenye hizo kazi unawazia marejesho na kodi. Tuliza akili uone utamu wa hiyo shughuli na washughulikaji.
 
Hata romance ina kilele cku hizi??!!! ..........ana jini maahaba huyo.
 
je hao wanaume unapowakubali hadi kusex unakuwa umewapenda au umewatamani?

Unakaa muda gani katika relationship hadi kuamua kusex nao/nae?

Unapom /wakubali unamkubali kwa sababu ipi? Namaanisha unaamua kumkubali mwanaume kwa kuwa tu kakutongoza au kwa kuwa umempenda au umemtamani?

Ushawahi kukojozwa unaposex?
 
jamani mwenzenu najishangaa sijui ninapepo au nini mwanaume akinitongoza tukifanya sex mara 1 namchukia yaani simtaki na ananitoka moyoni kabisa au mwanamme akinitongoza tukifanya romance tu bas mimi ham nae inaisha na ninamchukia kabisa unakuta sitaki kabisa hata kumuona, jamani ushauri wa bure itakua ninatatizo gani mwenzenu?
Sababu unafanya sex kabla ya ndoa sababu, huna pepo wala nini una washwa tu :biggrin:
 
Kuna mawili yanayokuzunguka
1. Hujawahi kufika kileleni
2. Una jini mahaba

sasa subiri info zaidi.
 
Pepo hilo binti,njoo kwenye maombi hapa kwa mzee wa upako siku ya alhamisi tutamaliza kila kitu ktk Jina la Yesu.
 
jamani mwenzenu najishangaa sijui ninapepo au nini mwanaume akinitongoza tukifanya sex mara 1 namchukia yaani simtaki na ananitoka moyoni kabisa au mwanamme akinitongoza tukifanya romance tu bas mimi ham nae inaisha na ninamchukia kabisa unakuta sitaki kabisa hata kumuona, jamani ushauri wa bure itakua ninatatizo gani mwenzenu?

pole sana, hujakutana na wajanja, usingejuta .......teteh viwango vya magoli uliyofungwa havikuthibitishwa na tbs
 
You got it right, utakuwa na pepo (spiritual husband); kama hao watu unakuwa unawapenda kweli. Na kumaliza hili ni deliverance tu na si kufikishwa wala wifiye kufikishwa.
 
je hao wanaume unapowakubali hadi kusex unakuwa umewapenda au umewatamani?

Unakaa muda gani katika relationship hadi kuamua kusex nao/nae?

Unapom /wakubali unamkubali kwa sababu ipi? Namaanisha unaamua kumkubali mwanaume kwa kuwa tu kakutongoza au kwa kuwa umempenda au umemtamani?

Ushawahi kukojozwa
unaposex?

haya ni maswali kuntu kweli kweli! hasa hapo kwenye bold
 
je hao wanaume unapowakubali hadi kusex unakuwa umewapenda au umewatamani?

Unakaa muda gani katika relationship hadi kuamua kusex nao/nae?

Unapom /wakubali unamkubali kwa sababu ipi? Namaanisha unaamua kumkubali mwanaume kwa kuwa tu kakutongoza au kwa kuwa umempenda au umemtamani?

Ushawahi kukojozwa unaposex?

jaman unakuta nampenda kabisa kutoka moyoni tena kupenda kwel sio utani ila nikisex nae malomoja tu au mala mbili basi simtaki tena no matter ataniridhisha kiasi gani
 
Tatizo ukiwa kwenye hizo kazi unawazia marejesho na kodi. Tuliza akili uone utamu wa hiyo shughuli na washughulikaji.
hujanielewa ndugu sio kama sisikii utam nausikia tena to the maximum lakini baada ya tendo sikutaki tena labda aje mpya nae ni hivyohivyo
 
Back
Top Bottom