Msaada jamani

Mr.Busta

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
672
99
Naombeni msaada.kifua kinapata moto/kinauma kwa muda fulani.pia nakuwa na banja sana labda kila baada saa2 Au3.naomba kujua tatizo nini? Au ndio TB?
 
Ni vizuri ukaenda hospitali. Inawezekana ni mazingira ya vumbi yamesababisha au kitu kingine.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom