chagua PC yako kisha angalia kwenye specifications, section ya "Cards:" motherboarboard inatakiwa iwe na uwezo wa kuipokea hiyo card, kwa hiyo kama card ni PCI Express motherboard inatakiwa iwe na PCI express.
Unaweza iwapo utafunga kadi ya Vga nyingine ktk pc yako.kwani czani kama kwenye motherboard kuna memory expansion slot(karibu na Co-processor ya Vga kunakuwaga na empty Ic sockets) kama zipo check max mem inayoweza kukaa