Msaada jamani

Msaada jamani

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,998
Wakuu naomba msaada wenu.

Nilikuwa niaangalia nyimbo(video) kwenye TV, kwakutumia deki. Kwakua sauti ilikuwa chini nilitaka kuongeza volume.

Sasa bila kuangalia nkabonyeza kitufe Cha channels, wakati Sina kingamuzi. Nilipotaka kurudisha ili niendelee kuplay muziki nimeshindwa, maana Sina remote ya TV.

Wakuu unawezaje kuchange kutoka channel ili TV ionyeshe maana sahivi inaonyesha mchelemchele.

TV Ni sumsung za zamani Sina Remote
 
Piga picha ya control panel ya TV (zile buttons zote). Tuone kama kuna msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom