cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,806
Habari za asubuhi wana jamvi, nina simu yangu aina ya exbonilikuwa natumia line zote baadae ikaingia virus nikaamua kui restore sasa cha kushangaza sasa hivi zile line hazisomi mtandao, nikienda kwenye sim card management line zote zinaonekana zinasoma ili ukija kwenye mtandao uku juu kuna alama ya x kwa anayejua jins ya ku solve hili tatizo anisaidie. chief mkwawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app