Msaada Jamani

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Wana JF,
Naombeni msaada na mnishauri,

Nataka Kununua Gari ktk Survey yangu nimekuta gari mbili,

Ya kwanza
CIF 6790 ni gari ya Mwaka 1998

Ya pili ni

CIF USD 9800 ni gari ya mwaka 2002


Ishu yangu sio Kununua ila ishu ni kutoa coz hii ni mara ya ngu ya kwanza na Kodi za bandalini sijui inakuaje!

Naombeni mnisaidie
 
Back
Top Bottom