Mato Alfred
Member
- Aug 17, 2016
- 37
- 10
Mtu mwenye degree ya Electrical engineering anaajiriwa maeneo gani?
Ahsante DunyaNdugu mato kiukweli ni sehemu nyingi ! But employment stakeholder katika makampuni mengi wanataka MTU mwenye Electronics and Electrical engineering coz hawawez ajiri MTU mwenye Electronics na mwengine mwenye electrical They need to be with one who can cover both so kwa kesi ya electrical engineering only soko Lina pungua ;!!! Wapi wana ajiri any place u know where electricity is applied or present
Mbona guide book naona electr. eng. peke yake? Hiyo electronics & electrical eng. ni coz moja au 2 tofauti?Ahsante Dunya
ATC wanatoa both as oneMbona guide book naona electr. eng. peke yake? Hiyo electronics & electrical eng. ni coz moja au 2 tofauti?
Funguka kama vileMtu mwenye electrical eng. Anajiajiri pia,usiangalie upande wa kuajiriwa tu.