Msaada jamani! Yamenifika

Pole mkuu, wapo wengi sana hao usipojitizama utaishia kubolesha kwake tu we ukabaki mtupu. Kwakuwa ushahonga sana nenda kamdonoe afu tupilia mbali kule mblock kabisa. Saw a mkuu...........
 
Pole mkuu, wapo wengi sana hao usipojitizama utaishia kubolesha kwake tu we ukabaki mtupu. Kwakuwa ushahonga sana nenda kamdonoe afu tupilia mbali kule mblock kabisa. Saw a mkuu...........

Huu mm ndo naona ushauri wa maana kwa vile tayari umesha invest. Tena kamdonoe kweli kweli kusudi akuweke kwenye kumbukumbu zake. kumbuka kuleta mlisho nyuma hapa hapa!
 
Acha uzoba wewe! Utashika pembe mpaka lini? Hata kama ubgekuwa unakamua bado ingekuwa imekula kwako sembuse mshika pembe
 
Huu mm ndo naona ushauri wa maana kwa vile tayari umesha invest. Tena kamdonoe kweli kweli kusudi akuweke kwenye kumbukumbu zake. kumbuka kuleta mlisho nyuma hapa hapa!

mkuu omurwanga....MLISHONYUMA ni tafsiri sisisi ya neno la kiingereza; kiswahili kina neno zuri sana MREJESHO
 
mpwa mimba hiyo siyo kabisa njoo
 
Achana nae mara moja alivyokula vinatosha ukiendelea baada ya kusoma comment hii itakula kwako kijana
 
Watu wengine sijui mna mapepo ya ukiziwi na ukipofu. Wadada wa saluni asilimia tisini ni vicheche. Kama umekosa mchumba dar achana na habari za kuoa
 
Sa Shinyanga ulienda kufanya nini?!! au ulikua kwenye siku zako!!
 
ukiona manyoya ya. kanga ujue kanga kakaangwa!

kimbia mkuu huyo ni jini mnywa damu atakunyonya damu yote ufe kibudu!
 
Sa Shinyanga ulienda kufanya nini?!! au ulikua kwenye siku zako!!

Shinyanga nilienda ili tuongelee mambo yetu ki undani na ndo hayo yanaendelea tena, naona alibadili system ya kuomba pesa make saloon nilishuudia tena shampoon imejaa
 
Sijaona tofauti kati ya wadada wa saloon na machangudoa.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…