mkuu, hapo kwenye RED, hivi hilo huwa linawezekana? kwamba mtu hujampenda at first place/sight, yaani hajakuvutia kimapenzi. Then eti uanze ''kujifunza'' kumpenda, then una-fall deeply in love. Huwa siamini hii aisee.

Bwana Kaveli usije ukafikiri couples zoooooote zilikuwa love at first sight kuna muda you have to buy enough time ili umsome weaknesses zake na ukishazijua ndo unakomalia ukoukoo sasa yanavyoendelea yoooote hayo hapo katikati ndo kujifunza kupendana kwenyewe uko.