Kuna tatizo mahali.
SHida ikawa kwangu, kwani tokea kipindi hicho chote sijisikii kua na moyo wa kumpenda tena jinsia ya kike
Tatizo gani mwana na sehemu gani?
Ukisahahu moyo utarudia kupenda tena.
Poleni sana na miangaiko ya kufunga kampeni, asanteni kwa wale waliojiandaa kufanya ukataji Kesho mapema.
WAnajukwaa mie ni kijana wa kiume miaka 28, kulitokea kutoelewana na mchumba wangu mwaka na nusu sasa imepita na kila mmoja akala hamsini zake kwa mazuri tu. SHida ikawa kwangu, kwani tokea kipindi hicho chote sijisikii kua na moyo wa kumpenda tena jinsia ya kike ili kutayarisha tena mchumba.
Mwanzo nilidhani kua tatizo litapungua bali linazidi kuongezeka.
Naombeni msaada,Je ni kawaida kweli au kuna sehemu/mahali hakiko sawa?
Uchaguzi mwema wrotewrote
Ngoja kwanza kesho asubuhi nimpeleke Lowassa ikulu halafu nitakwambia.
Upo kama x wangu.japo alinambia saiz anatafuta tu pesa .sasa sijui ww mlipoachana ulijitamkia maneno gan.kama hujiskii kuanzisha mahusiano mengne basi tulia had moyo wako utapo ridhia.usijilazimishe
Asante subiri kidogo nina jukumu zito kidogo hapa mita 200.001 kutoka kituo cha kupigia kura niione baadaye tafadhari!Poleni sana na miangaiko ya kufunga kampeni, asanteni kwa wale waliojiandaa kufanya ukataji Kesho mapema.
WAnajukwaa mie ni kijana wa kiume miaka 28, kulitokea kutoelewana na mchumba wangu mwaka na nusu sasa imepita na kila mmoja akala hamsini zake kwa mazuri tu. SHida ikawa kwangu, kwani tokea kipindi hicho chote sijisikii kua na moyo wa kumpenda tena jinsia ya kike ili kutayarisha tena mchumba.
Mwanzo nilidhani kua tatizo litapungua bali linazidi kuongezeka.
Naombeni msaada,Je ni kawaida kweli au kuna sehemu/mahali hakiko sawa?
Uchaguzi mwema wrotewrote
Asantefanya ibada,mrudie MUNGU itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuweza kusonga mbele