msaada jamani wa sheria kwa anayejua hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jamani wa sheria kwa anayejua hii

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by congobe, Jul 16, 2012.

 1. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  nataka kuhama kituo cha kazi kumfuata mume wangu nime ambatanishabarua na cheti cha ndoa cha ajabu DEO ana nambia nipereke mwalimu mbadala ndo nipate kuhama kituo cha kazi naomba ushauri wenu jamani
   

  Attached Files:

Loading...