Msaada jamani wa haraka

Msaada jamani wa haraka

Hiyo hofu na kutegesha ili u conceive ni sababu tosha ya mimba kutoshika hata kama nyote mko fit.
Relax mamy na kila kitu kitakuwa sawa,ni mapema mno hata hivyo.
 
Hapo yawezekana hizo dawa za kuzuia mimba ulizozitumia mwanzoni bado zinafanya kazi hadi sasa cha muhimu kaa na mumeo mueleweshane juu ya tatizo lililopo na msubiri hadi hapo dawa zitakapoisha mwilini.
 
Kama uliwahi kutumia dawa you,ll have to wait a litle longer. Otherwise count from the first day you start your mp to twelve. Then mwambie jamaa mpige kazi ya uumbaji kati ya siku ya 12 mpaka 16. Kama si nguvu ya dawa utakuja kutoa majibu. Walio wengi wanafikiri siku za hatari ni two days before mp kumbe hola. Fuata ushauri nilio kupa utakufaa dada.
Asante sana kwa ushauri wako ndugu yangu
 
Hiyo hofu na kutegesha ili u conceive ni sababu tosha ya mimba kutoshika hata kama nyote mko fit.
Relax mamy na kila kitu kitakuwa sawa,ni mapema mno hata hivyo.

Dah hvi kweli?Asante sana kwa ushauri tena sana
 
Hapo yawezekana hizo dawa za kuzuia mimba ulizozitumia mwanzoni bado zinafanya kazi hadi sasa cha muhimu kaa na mumeo mueleweshane juu ya tatizo lililopo na msubiri hadi hapo dawa zitakapoisha mwilini.
Hzo dawa zinachukua muda gani kuisha mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom