MAULA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,056
- 170
kama ulitumia PROGESTOGEN PILLS(POP) huwa na madhara haya....
---Huwa zinapelekea yai kutoweza kuzalishwa
--na pia mda mwingine shahawa kutoweza kukifkia yai kutakana na kupunguza ute ute katka celvix ambao husaidia shahawa kuogelea
--na kama haitoshi mda mwingine hubadirisha MP yako kuwa ikibadkikabadilika hivyo ukawa unachanganya siku........
ushaur kuwa na subiraa tuuu mpaka ziishe nguvu