Msaada jamani wa haraka

Msaada jamani wa haraka

Peace92

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
261
Reaction score
57
Habari wana jamii forum!
Naombeni msaada wenu jamani,mim nimeolewa mwez wa pili mwaka huu na tulipanga baada ya kuoana tu tupate mtoto,tatzo linakuja yan mpaka sasa cjashika mimba na my husband always blame me for that,nilienda hospital moja kwa Siri bila mume wangu kufahamu nikaenda kupima nikaambiwa nipo fit tu na nilipomwambia mwenzangu alienda na yeye kupima wakamwambi yupo fit,sasa sielewi kwa nin sishiki mimba jaman mume wangu amekuwa ananinyanyasa cku hz wakati cna tatizo lolote!tumejaribu weeeeeee Mara nyingi kutegeshea cku za hatari bt hakuna kitu yan Jambo hlo ninaniumiza sana kwa kweli !pls naomba Kama kuna mtu anajua dawa yake aniambie au ushauri wowote tu jaman coz nipo dillemma sana!
Thank u in advice
 
^^
Msipende mambo yatokee haraka,,yaani miezi miwili tu na wanaokaa miaka mitano?
Tulizeni mioyo mfuate ratiba aliyowapangia Bwana Maisha.
^^
 
Mweke mwenyezi mungu mbele atakusaidia, maana yeye ndio muweza wa kila jambo.
 
Vuta subira utapata ujauzito lakini mambo yakigoma kabisa tafuta maombezi maana kuna mambo ya kiroho nayo huwa yanatesa sana watu......
 
ebu kajaribu kidume mwengine uone kama utapata mimba....ila hongereni kwa kutopeana mimba kabla ya kuoana
 
Pole dada kwa manyanyaso unayoyapata baada ya kufurahia ndoa imekua chungu.
Jaribu kutembelea jf doctor forum, na nivizuri mkaenda kumpima na kupata ishauri wa daktari mkiwa pamoja kuliko kila moja kwenda kupima kivyake, naamini mkifanya hivyo na kumshirikisha mungu katika hilo atayajibu maombi yenu
 
Asante kwa ushauri
 
Jarib kumwambia akae mda mrefu kidogo kama wk mbili hadi mwez kabla ya kukutana nae kimwili katka siku hiyo ya hatar inaweza kuwasaidia
Dada au ulitumiaga manjia yq uzaz wa mpango maaana lnaweza kua ndo tatzo?!!
 
Vuta subira utapata ujauzito lakini mambo yakigoma kabisa tafuta maombezi maana kuna mambo ya kiroho nayo huwa yanatesa sana watu......
Mwenzngu anaharaka sana yan kila cku ananilaumu mim tu
 
Jarib kumwambia akae mda mrefu kidogo kama wk mbili hadi mwez kabla ya kukutana nae kimwili katka siku hiyo ya hatar inaweza kuwasaidia
Dada au ulitumiaga manjia yq uzaz wa mpango maaana lnaweza kua ndo tatzo?!!
Mwez tuliooana yan mwez wa pili tulipatana nitumie progestogen pills bt kwa wiki 3 tu baada ya hapo nikaacha
 
Mwenzngu anaharaka sana yan kila cku ananilaumu mim tu
Hapo inabidi utumie akili kumtuliza..kwa kuwa ushapima na ikaonekana hakuna tatizo..inabidi uwe muwazi tu kuwa ushapima na ikibidi muende hospitali kwa mara nyingine wote kuchunguza afya kwa mara nyingine...
 
Dada au ulitumiaga manjia yq uzaz wa mpango maaana lnaweza kua ndo tatzo?!![/QUOTE]

hata mimi nahisi hapo ndo penye changamoto kwani waweza kuwa ulikuwa unafurahi kipindi hicho kama ulikuwa unatumia lakin xaxa unapohitaji kitu original ngoma inabuma.
 
Dada au ulitumiaga manjia yq uzaz wa mpango maaana lnaweza kua ndo tatzo?!!

hata mimi nahisi hapo ndo penye changamoto kwani waweza kuwa ulikuwa unafurahi kipindi hicho kama ulikuwa unatumia lakin xaxa unapohitaji kitu original ngoma

inabuma.[/QUOTE]

Bro sasa nifanye nin jaman ndo naomba ushauri bro
 
Huenda hizo zikawa bado zinafanya kazi itakubidi usubiri sasa mpaka ziishe nguvu ndo hapo waweza kupata uhauzito tena
 
Kuwa na msimamo maana hujapanga wewe khali hiyo.. Mwambie mr kwa upole ni jinsi gani unavyoumia kwa hali ya ndoa yenu ilivyo sasa.. Pili jitahidi saana familia yako iwe jirani na nyumba za Mungu maana mr anaonekana hana Khofu ya Mungu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom