MSAADA JAMANI To receive payouts, please choose a valid payment method.

Dec 11, 2016
89
46
NIWEKA MAJINA YANGU YOTE KWENYE WESTERN UNION(GOOGLE ADSENSE) LAKINI INA NIAMBIA JE NAFANYAJE
EARNING.JPG
 
Chagua payment method
Kama ni west union au Wire transfer.
Jaza taarifa kamili kati ya njia hizo na ukimaliza. changua moja na uifanye primary method baada ya hapo, Update. ujumbe utatoka then google watakulipa next month.
 
thnx bro.. nilifanikiwa
 
Back
Top Bottom