kuna wakati unakuwa unafunga program lakini kinachofungika ni ui tu ila program inakuwa inafanya kazi chini kwa chini. mfano unaweza ukafunga dashboard lakini kumbe haijafungika ukifungua dashboard nyengine itakwambia modem is in use with other process.
hivyo hapo cha kufanya
-tambua hio error hutokea ukifanya nini
-bonyeza ctrl na alt na delete kwa pamoja chagua task manager, njia nyengine right click toolbar yako halafu chagua task manager
-tafuta process ya hio app ambayo inaleta error halafu ifunge