msaada jamani please! Please! Please!

msaada jamani please! Please! Please!

wakomong'we

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
30
Reaction score
2
Natanguliza shukurani za dhati wakuu.Naomba mwenye key ya Internet download manager (IDM) anisaidie,au kama anayo version ya IDM yenye key aiweke hapa niishushe au anitumie kupitia mg.moses@yahoo.com,nawaombeni sana ndungu zangu.Chrimas njema na heri ya mwaka mpya
 
Upo uzi humu ambao unatoa suruhisho la idm. kama sikosei search ktk google khurram idm software utapata dawa yake.
 
Back
Top Bottom