Msaada: Napata changamoto ya kuapply kozi katika Chuo cha SUA

Fadhili Jr

Senior Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
100
Reaction score
33
Msaada jamani wadau kwa yeyote aliyefanya application chuo cha SUA ,anisahidie najaribu kuchagua kozi ninazo zitaka ila sioni sehemu ya ku save baada ya kuchagua
 
mimi nilipokua na select course inaleta automatically neno save.. sjui sasa kwako.. labda rudi nyuma uanze upya.

Lakini ukweli ni kwamba kuapply SUA ni kazi ngumu sana
 
Msaada jamani wadau kwa yeyote aliyefanya application chuo cha SUA ,anisahidie najaribu kuchagua kozi ninazo zitaka ila sioni sehemu ya ku save baada ya kuchagua
Jaribu pia kubadilisha browser unayotumia. Kuna wakati baadhi ya functions zinaweza kugoma kwenye chrome lakini kwenye Edge/safari zikawa vizuri tu (and vice versa)
 
Back
Top Bottom