Isosorbide dinitrate, asperem 75 msaada wenu jamani

S

said reuben

Member
Joined
Dec 22, 2018
Messages
25
Points
45
S

said reuben

Member
Joined Dec 22, 2018
25 45
Naomba kuuliza nilienda hospital nikaambiwa ninatatizo la left ventricular hypertrophy nikapewa dawa tajwa hapo juu lakin now ni napata maumivu makali kama moto tangu jana usiku ila kabla sijaanza kutumia ilikua ina una upande mmoja n then I naachia but tangu jana usiku ni too much na hapa sina hela ya hospital mpka jumatatu naweza pata ushauri gani wakuu naomba msaada wenu
 
Asclepius

Asclepius

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
626
Points
1,000
Asclepius

Asclepius

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
626 1,000
Hiyo dawa ukiitumia inatakiwa ikupunguzie hayo maumivu mkuu
Kama haikusaidii nadhani ni vema urudi hospitali

Na pia jitahidi upumzike usifanye shughuli nzito yeyote
 
S

said reuben

Member
Joined
Dec 22, 2018
Messages
25
Points
45
S

said reuben

Member
Joined Dec 22, 2018
25 45
Hiyo dawa ukiitumia inatakiwa ikupunguzie hayo maumivu mkuu
Kama haikusaidii nadhani ni vema urudi hospitali

Na pia jitahidi upumzike usifanye shughuli nzito yeyote
Asante kaka so niache kunywa au maana hospital mpka jumatatu ndo nataka niende maana kwa sasa financial siko sawa sana
 
muhamar Gadaf

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Messages
751
Points
1,000
muhamar Gadaf

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2017
751 1,000
Naomba kuuliza nilienda hospital nikaambiwa ninatatizo la left ventricular hypertrophy nikapewa dawa tajwa hapo juu lakin now ni napata maumivu makali kama moto tangu jana usiku ila kabla sijaanza kutumia ilikua ina una upande mmoja n then I naachia but tangu jana usiku ni too much na hapa sina hela ya hospital mpka jumatatu naweza pata ushauri gani wakuu naomba msaada wenu
pole mkuu, naomba kujua umri wako... je una pressure ya kupanda ?
uzito wako kilo ngapi ?
miguu inavimba ?
umesha wahi kupima madonda ya tumbo ?

ulifanya kipimo gani ECHO ?

kwa mahojiano zaidi ni PM
 
Forum statistics

Threads 1,294,415
Members 497,914
Posts 31,175,208
Top