Msaada jamani nguvu za kiume zimenizidia

Msaada jamani nguvu za kiume zimenizidia

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,411
Reaction score
5,150
Ukweli nimekuwa mtu wa kutokuridhika katika tendo la kujamiiana na Hali hii Kwa sasa inanipa wakati mgumu sana.

Yaan naweza kufanya hata muzunguko Saba na kila mzunguko ukachukua minimum dk 50 na bado nakua na hamu yakuendelea. lakini mara nyingi wenza wangu wamekua wakinikatisha nikuwa bado cjaridhika.

Hali hii hunisababishia msononeko mkubwa Sana hadi kuna wakati nakosa hata umakini kazini na kila Muda wa ziada ninao upata huwa nahakikisha nimeseti mipango kwa namna yoyote npate mtu yeyote Yule bila kuchagua walau nikate kiu.

Kwa kweli nimekuwa mtumwa ,hali inayosababisha niwe na idad kubwa ya wenza pia hata kipato changu hakikai, Kwa kifupi Mim nikichaa wa ngono ninaehitaj msaada kujinasua.

Nimefikia hatua yakuiba nguo za ndani za wenza wangu nakutembea nazo mifukoni ili mizuka ikinipanda niwe nazinusa ili hamu ipoe.

Hapa napoandika niko foleni natoka kazini lakini begi langu naloambatana nalo kama Gamba la Kobe halina vitu vya maana zaidi ya sidiria na chup za kike nilizowaibia wenza wangu.

Jamani me nimwendawazimu ninaehitaji ushauri na Tiba kutoka kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chukua magadi changanya na pilipili upakae kwenye makagali tumia upupu uliochanganyikana na kimiminika kisha paka.kesho njoo na mrejesho wa tatizo lako.Usisahau kusema "bashite...jiwe... magu...dab..."wakati unapaka
 
Huenda unajifari na hizo nguvu huna,yawezekana wewe ni wale wa kamoko tena ka dakika 5 halafu ndio basi tena!
 
What doesn't kill you makes you stronger

Kikubwa uhai​
 
Yawezekana hazijakuishia ila unaozini nao ndio wanaupungufu wa nguvu za kike.
 
Back
Top Bottom