Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,804
18,231
Oumofia kwenu?

Ili nisiwachoshe, naingia kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36, naishi Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume ghafla pasipo sababu za msingi. Zamani nilikuwa na uwezo wa kupiga show ya kibabe hadi nafunga goli 6 au zaidi kwa usiku mmoja. Kuna siku nakumbuka nilipiga show na demu wangu mpaka akawa analia na kulalamika kuwa nimemchubua. Nilidhani katia mpira kwapani lakini nilipomchungulia kwa umakini niliona michubuko mingi kunako eneo husika. Kumbuka tangu zamani mimi huwa nacheza show pekupeku.

Sasa kama nilikuwa na uwezo mkubwa kiasi hiki tatizo langu ni nini? Ni hivi: Sasa hivi naweza kukaa mwezi mzima bila kupiga show halafu nikawa niko vizuri tu. Kabla ya hapo nilikuwa zimalizi wiki 2! Baada ya mwezi mmoja kuna wakati ashki zinakuja kidogo na ikiwa sikupata huduma sometimes napata wet dreams za hapa na pale lakini kila nikipata dream, nikijikagua najikuta niko msafi – chombo hakitemi (kama ilivyokuwa zamani). Nime-experience wet dreams mara 2, tena kwenye drems napiga show hadi mwisho, cha ajabu hakuna dalili zozote za ‘kuchafuka’!

Hili ni tatizo, tena tatizo kubwa sana. Waswahili walisema “tatizo lisikie kwa mwenzako” sasa naona majanga yamegeukia kwangu. Siku zote nimekuwa nasikia watu wakilalamika kuishiwa nguvu za kiume, nikawa nadhani ni masikhara. Sasa nimeamini kweli kuna kuishiwa nguvu za kiume. Hali hii imenipa wasisi mkubwa sana na kunisababishia mzongo mkubwa wa mawazo, hasa ukizingatia kwamba idadi ya watoto niliotarajia kuzalisha bado haijatimia. Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu. Nifanyeje ili kurudisha nguvu zangu zilizopotea? Naona aibu kwenda kupanga foleni kwa Sangoma katika umri huu. Ni juzi tu mwanaume mmoja aliripotiwa kufariki, wakati akipata tiba kwa mganga ambapo mganga huyo alikuwa akiingiza dawa kupitia kwenye mrija wa uume. Naogopa sana. Ushauri wenu ni muhimu sana wakuu.

Nawasilisha.
 
embu piga gym mkuu nguvu zitarudi tu ina maana hata kubeba ndoo ndogo ya maji huwezi kabisa??
Asante kwa ushauri mkuu. Kubeba vitu naweza ila nguvu za kiume zimeniishia kwa kiwango cha ajabu sana. Vipi nikibadili diet haiwezi kusaidia? Maana nimekuwa nikila wanga kwa wingi lakini bado tatizo lipo.
 
Kula vyakula halisi,, "asili). Nguvu zitarejea
Mkuu, vyakula halisi (hasa wanga) nakula sana na nimeshauriwa kupunguza kiwango cha vyakula vyenye kemikali, bado sijapata nafuu. Kuna baadhi wamenishauri nitumie viagra lakini naogopa isije ikaniongezea tatizo.
 
Hujaishiwa nguvu za kiume mkuu...

Kilichotokea ni kushuka kwa hormone ya kiume inaitwa testosterone.
Hormone hii inakuwa iko juu sana kijana anapoingia miaka kuanzia 18 mpaka 21, lakini wengne huchelewa mpaka wanapogonga 30.

Kwa kawaida inatakiwa hormone hii ishuke mara tu unapofika miaka 30 kwa kiwango cha 1% au 2% kwa mwaka, lakin wengine hushuka kwa haraka sana kwa sababu nyingi mno.

Lazima uangalie lifestyle yako kama inasababisha kushuka kwa hormone hii ikiwemo pombe au stress au sectual motivation au kula vyakula vyenye hormone ya kike kwa wingi inayoitwa estrogen.

Estrogen ni hormone ya kike inayoleta tabia za kike na Testosterone ni ya kiume inajenga mambo ya kiume, kawaida mazingira yana mpambano wa kila siku wa hormone ya kiume na kike, ambapo ya kiume ikizidi unakuwa na tabia nyingi a kiume na maumbile ya kiume kweli kweli, mambo kama kupiga show za kibabe, mambokama kumwaga bao jingi mpaka unajishangaa, mambo kama sauti nzito, mambo kama kuwa rough sana na kutojipenda, mambo kama kujenga misuli ya mwili mambo kama hasira za kupenda ugomvi na mengineyo.

Za kike zikizidi unaanza kujenga mambo ya kike kama kupenda utulivu wa kukaa nyumbani na kuangalia tamthilia za mapenzi asubuhi mpaka jioni, mambo kama kupenda ubuyu, mambo kama kuvimba kwa matiti na kuwa na chuchu za kike wakati wewe mwanaume , mambo kama kupungua kwa ashki za ngono, uume kupungua kusimama nyakati za asubuhi na vitu vingine.

Unatakiwa upambane upate balance ya hormone katika mwili, kwa maana ya kuhakikisha hauli vyakula vyenye kuleta sana hormone ya kike na kupendelea kula vyakula vyenye hormone ya kiume.

Punguza pombe, vyakula vya kukoboa, punguza stress, punguza sigara, punguza kunywa soda sana, punguza kuala masaa machache, punguza sukari kwenye vyakula vyako.

Lakini kumbuka pia kupungua kwa hormone hii ni jambo la kawaida kiafya, tatizo linapokuja ni pale inaposhuka kwa haraka.
Pia kumbuka mwili una hormone zote za kiume na kike.
 
Oumofia kwenu?

Ili nisiwachoshe, naingia kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36, naishi Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume ghafla pasipo sababu za msingi. Zamani nilikuwa na uwezo wa kupiga show ya kibabe hadi nafunga goli 6 au zaidi kwa usiku mmoja. Kuna siku nakumbuka nilipiga show na demu wangu mpaka akawa analia na kulalamika kuwa nimemchubua. Nilidhani katia mpira kwapani lakini nilipomchungulia kwa umakini niliona michubuko mingi kunako eneo husika. Kumbuka tangu zamani mimi huwa nacheza show pekupeku.

Sasa kama nilikuwa na uwezo mkubwa kiasi hiki tatizo langu ni nini? Ni hivi: Sasa hivi naweza kukaa mwezi mzima bila kupiga show halafu nikawa niko vizuri tu. Kabla ya hapo nilikuwa zimalizi wiki 2! Baada ya mwezi mmoja kuna wakati ashki zinakuja kidogo na ikiwa sikupata huduma sometimes napata wet dreams za hapa na pale lakini kila nikipata dream, nikijikagua najikuta niko msafi – chombo hakitemi (kama ilivyokuwa zamani). Nime-experience wet dreams mara 2, tena kwenye drems napiga show hadi mwisho, cha ajabu hakuna dalili zozote za ‘kuchafuka’!

Hili ni tatizo, tena tatizo kubwa sana. Waswahili walisema “tatizo lisikie kwa mwenzako” sasa naona majanga yamegeukia kwangu. Siku zote nimekuwa nasikia watu wakilalamika kuishiwa nguvu za kiume, nikawa nadhani ni masikhara. Sasa nimeamini kweli kuna kuishiwa nguvu za kiume. Hali hii imenipa wasisi mkubwa sana na kunisababishia mzongo mkubwa wa mawazo, hasa ukizingatia kwamba idadi ya watoto niliotarajia kuzalisha bado haijatimia. Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu. Nifanyeje ili kurudisha nguvu zangu zilizopotea? Naona aibu kwenda kupanga foleni kwa Sangoma katika umri huu. Ni juzi tu mwanaume mmoja aliripotiwa kufariki, wakati akipata tiba kwa mganga ambapo mganga huyo alikuwa akiingiza dawa kupitia kwenye mrija wa uume. Naogopa sana. Ushauri wenu ni muhimu sana wakuu.

Nawasilisha.
Kapime blood sugar mkuu
 
Mkuu! Hiyo kawaida! Kama utakumbuka erection ya wakati wa adolescent ilikua so strong kiasi cha uume kukaribia kitovu. Lakini umri unavyozidi kwenda haya hupungua. Life style sanasana ni chanzo kikubwa. Jaribu kutazama life style yako ya sasa na wakati ulipokua fit.
 
Back
Top Bottom