Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
habari zenu,
jamani naombeni msaada nina printer nyumbani p2054 laser jet nahitaji mahala niweke iendelee kutumika na
muhusika awe ananipa hata 5000 kwa siku kama biashara itaenda vizuri, ili niweze kukusanya mtaji haraka, pia
mashine isiwe tu bila kazi nahofia itaharibika maana ina miaka 3 now, ni mpya kabisa ipo ndani ya boksi lake.
binasfi mda sina nashinda kazini.
msaada kwa atakayenisaidia au hata ushauri tu.
asanteni.