Msaada jamani my Galaxy S 4 imeingia kwenye maji.

Mjamaa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
7,836
Reaction score
6,292
Jamani naombeni msaada simu yangu imeangukia kwenye beseni la maji yani haifai. vp kunauwezano ikapona kweli? Naomba mwenye idea anisaidie .
 
Don't use, remove battery dry with a hand dryer and keep it in airy place for abt two days
 
Jamani naombeni msaada simu yangu imeangukia kwenye beseni la maji yani haifai. vp kunauwezano ikapona kweli? Naomba mwenye idea anisaidie .

peleka kwa fundi itapinona usiwashe ww mpekee itakucost incase display imeharibika
 
Jamani naombeni msaada simu yangu imeangukia kwenye beseni la maji yani haifai. vp kunauwezano ikapona kweli? Naomba mwenye idea anisaidie .

Kama ni original na uliisajili ukienda Samsung Care watakurekebishia bure
 
Asantani kwa mawazo yenu wakuu.
 
As they said hapo juu, another way ni toa battery and back cover then weka kwenye mfuko/bakuli la mchele for a while.
 
Kwenye mchele unaoaswa kae masaa 24
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom