Msaada jamani Mwenye taarifa zozote juu ya ajira zilizo tolewa disemba za kilimo.

pclarence60

Member
Jan 17, 2012
15
1
Naomba kwa mwenyetaarifa zozote juu ya ajira za kilimo, itafanyika interview au watapanga tu mojakwa moja na je wanaweza wakaita watu kuanzia lini?
 
Inavyoonyesha hakutakuwa na interview ni kupangwa tu lakini wadau watakuja kutujuza hata mm nina kiu ya kujua.
 
kwa jinsi nilivyosoma tangazo inaonekana hakuna interview ni kupangiwa tu. Kwa mujibu wa jamaa 1 tangazo lilikuwa limekosewa maana kulikuwa na nafasi pia za certificate ambazo zilikuwa ni nyingi kuliko diploma. Ila sijui kama ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…