Msaada jamani Mwenye taarifa zozote juu ya ajira zilizo tolewa disemba za kilimo.

pclarence60

Member
Jan 17, 2012
15
1
Naomba kwa mwenyetaarifa zozote juu ya ajira za kilimo, itafanyika interview au watapanga tu mojakwa moja na je wanaweza wakaita watu kuanzia lini?
 
kwa jinsi nilivyosoma tangazo inaonekana hakuna interview ni kupangiwa tu. Kwa mujibu wa jamaa 1 tangazo lilikuwa limekosewa maana kulikuwa na nafasi pia za certificate ambazo zilikuwa ni nyingi kuliko diploma. Ila sijui kama ni kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom